
Jua Haki Zako
RFI Kiswahili · France Médias Monde
Show overview
Jua Haki Zako launched in 2025 and has put out 38 episodes in the time since. That works out to roughly 6 hours of audio in total. Releases follow a weekly cadence.
Episodes typically run under ten minutes — most land between 10 min and 10 min — and the run-time is fairly consistent across the catalogue. None of the episodes are flagged explicit by the publisher. It is catalogued as a SW-language Government & Organizations show.
The show is actively publishing — the most recent episode landed 3 weeks ago, with 27 episodes already out so far this year. The busiest year was 2026, with 27 episodes published. Published by France Médias Monde.
From the publisher
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Latest Episodes
View all 38 episodesChangamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher
Haki za wakimbizi awamu ya pili
EAC : Haki za wakimbizi duniani
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utoto zapata sura mpya
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare
Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8
Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama
Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala
Rueben Kigame na harakati zake kupigia haki
Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa
Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii
Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia. Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza. Kutokana na hili ndipo Corps Africa nchini Kenya huwatumia vijana kwa kuwatuma katika jamii mabalimbali, ili kusema na hizo jamii na kutambua namna gani au wanahitaji msaada gani.
Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa
Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi. Ripoti hiyo ya Oxafarm inaonyesha kuwa mfumo wa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya bado una changamoto nyingi, ikiwemo ukosefu wa uwazi, ushirikishwaji mdogo wa jamii, na utegemezi mkubwa wa fedha kutoka nje masharika ya nje
Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba
Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.
Kenya : Haki za watoto wa kurandaranda mitaani
Kila mtotto ana haki kwa mjibu wa katiba za kila nchi na maazio ya kimataifa. Katika makala haya tunaanhazia haki za watoto wa kurandaranda mitaani. Skiza makala haya kufahamu mengi.
EAC : Wanawake wasilia nyuma katika harakati za amani
Kila Machi nane dunia, huadimisha siku ya kimataifa ya wanawake, katika makala haya tunaangazia sababu ambazo zimechangia wanawake kuachwa nyuma katika harakati za kutafuta amani. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Haki za wakimbizi wanapokimbilia mataifa ya kigeni
Je ni masaibu gani wanayopitia wakimbizi wakati wanapokimbia nchi zao? Skiza makala haya kufahamu mengi.