
Kenya: Mchakato wa kutoa taarifa za rushwa kwa tume ya EACC
Nchini Kenya tume ya kupambana na rushwa EACC imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mali ya umma haiporwi.
Jua Haki Zako · RFI Kiswahili
February 23, 20269m 59s
Audio is streamed directly from the publisher (audio.audiomeans.fr) as published in their RSS feed. Play Podcasts does not host this file. Rights-holders can request removal through the copyright & takedown page.
Show Notes
Nchini Kenya tume ya kupambana na rushwa EACC imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mali ya umma haiporwi.
Ila ni mchakato upi mtu anastahili kufuata kutoa taarifa kwa tume.
Benson Wakoli alikiti chini Kipsang Sambae afisa wa EACC, tawi la Nakuru kufahamu mchakato wa kutoa taarifa kwa EACC.
Topics
Haki za Binadamu