Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa
Makala haya yanaangazia ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa.
Jua Haki Zako · RFI Kiswahili
Audio is streamed directly from the publisher (audio.audiomeans.fr) as published in their RSS feed. Play Podcasts does not host this file. Rights-holders can request removal through the copyright & takedown page.
Show Notes
Makala haya yanaangazia ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa.
Ripoti hiyo inaonyesha kuwa raia wa Sudan, Sudan Kusini na Ethiopia ndio wanaobeba mzigo mkubwa wa vita vya silaha vinavyoendeshwa kwa ukatili, ambapo pande zinazopigana mara nyingi hulenga raia kimakusudi.
Human Rights Watch inasema mashambulizi haya dhidi ya raia yamekuwa jambo la kawaida, huku wahusika wakikosa kuwajibishwa.
Kufahamu mengi skiza makala haya.