PLAY PODCASTS
Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa

Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa

Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya,

Jua Haki Zako · RFI Kiswahili

March 31, 202610m 8s

Audio is streamed directly from the publisher (audio.audiomeans.fr) as published in their RSS feed. Play Podcasts does not host this file. Rights-holders can request removal through the copyright & takedown page.

Show Notes

Katika makala haya tunaangazia ripoti  kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya,

Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi.

Ripoti hiyo ya Oxafarm inaonyesha kuwa mfumo wa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya bado una changamoto nyingi, ikiwemo ukosefu wa uwazi, ushirikishwaji mdogo wa jamii, na utegemezi mkubwa wa fedha kutoka nje masharika ya nje

Topics

EAC