PLAY PODCASTS
Kenya : Ukeketaji bado changamato Africa

Kenya : Ukeketaji bado changamato Africa

Katika maeneo ya wafugaji wa kuhamahama nchini Kenya, mila na desturi bado zinaonekana kupewa kipaumbele kuliko elimu – hali inayowafanya wasichana kuwa katika hatari kubwa ya kukeketwa.

Jua Haki Zako · RFI Kiswahili

November 20, 20259m 56s

Audio is streamed directly from the publisher (audio.audiomeans.fr) as published in their RSS feed. Play Podcasts does not host this file. Rights-holders can request removal through the copyright & takedown page.

Show Notes

Katika maeneo ya wafugaji wa kuhamahama nchini Kenya, mila na

desturi bado zinaonekana kupewa kipaumbele kuliko elimu – hali

inayowafanya wasichana kuwa katika hatari kubwa ya kukeketwa.

 

Wasichana wengi hukatizwa masomo na kulazimishwa kufuata

tamaduni zinazokiuka haki zao, huku ukeketaji ukiendelea kufanywa

kwa usiri mkubwa licha ya juhudi za serikali na wadau kutoa elimu

na kupiga marufuku tendo hilo.

 

Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa

ukeketaji wa wasichana na wanawake wenye umri wa miaka 15

hadi 49 bado ni tatizo linaloripotiwa nchini Kenya.

Katika makala haya  tunaangazia namna tamaduni

hizi zimeendelea kushamiri katika jamii za wafugaji wa kuhama

hama na jinsi zinavyomnyima mtoto wa kike haki yake ya kupata

elimu na kuishi bila unyanyasaji.

Topics

Kenya