PLAY PODCASTS
Neno la Mungu ni Mbegu

Neno la Mungu ni Mbegu

Ni kama mbegu inayopandwa ndani ya moyo wa mwanadamu ili kuzaa matunda ya haki na uzima.Linapoingia katika moyo ulio tayari kulipokea, huota, hukua, na kuleta mabadiliko ya kweli katika maisha.Huimarisha imani, hutoa hekima, na kumwelekeza mtu katika njia ya kweli na ya ushindi.Kadiri mtu anavyolitunza na kulitafakari, ndivyo linavyozidi kuzaa matunda mema katika tabia na matendo yake. Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

Pastor Neema Tony Osborn

March 4, 20262h 4m

Audio is streamed directly from the publisher (episodes.castos.com) as published in their RSS feed. Play Podcasts does not host this file. Rights-holders can request removal through the copyright & takedown page.

Show Notes

Ni kama mbegu inayopandwa ndani ya moyo wa mwanadamu ili kuzaa matunda ya haki na uzima.Linapoingia katika moyo ulio tayari kulipokea, huota, hukua, na kuleta mabadiliko ya kweli katika maisha.Huimarisha imani, hutoa hekima, na kumwelekeza mtu katika njia ya kweli na ya ushindi.Kadiri mtu anavyolitunza na kulitafakari, ndivyo linavyozidi kuzaa matunda mema katika tabia na matendo yake.

Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give